Lastreal's Posts
Nairaland Forum › Lastreal's Profile › Lastreal's Posts
1 (of 1 pages)
Wanachukia sana wakiona mwana
napanda dau
Japo sidharau wote mainstream na
underground
Kinyang’au, I real murder them up
Kipaji kimeshuka straight out from
above
Salute zote zije kwako my mother
Ulisema nisichoke mwanao ni try
harder
Ukweli kwamba sijafika nitakapo
But I thank God nimerekebisha
michakato
Kiwalani is on my shoulders now
I’m taking over now
Hip Hop is like an army, I’m the
soldier now
Mitandaoni wakizidi post ushoga
Nao deal kusaka moja moja tule
mboga zao
Unachukia kuona vile mwana I do
both
Flows and lyrics dope ka niko New
York
Sa ngoja siku ile una-hang juu ya
Fuso
Na-ride kwenye bonge la Bima, niko
na bulldog
Ziba A, natoka na plan B
Na uta-feel pain siku unaniona na-
sign deal
Mi ndo M-A-W-E-N-G-E kwenye U-
S-I-P-I-M-E |
Cutehector:you copped |
Nilipommiss Hakutokea, ili kunigea kiss au
kuni-hug/
Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga/
Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi
yakaniditch/
Nilisurvive vipi sikumuita 1st LOVE B@#$?/
Ninahisi.. nilipata vibe ya kuipa truth a facelift/
‘ Haupati love bila michuzi hauna cash Fid ‘/
Nikakesha ndani ya booth.. HUYU NA YULE
ikawa 1st hit/
Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list/
Life ikawa poa.. lakini u-Playa siuwezi Fid/
Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi/
plus.. hawara anapasha kitanda moto/
Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha
kumganda huyu mtoto/
Na kuimba mahaba niue.. with a smile on my
face/
Haijalishi kama ana uzuri wa kumturn hadi Gay
straight/
Mapenzi ni kama ‘ ligi ya mbuzi ‘ Striker
anaweza potea/
Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache
wanao-Play fair/ |
1 (of 1 pages)